Aiseee....basi tu!
Kama unataka maisha yaendelee kama zamani kwanini unabadilisha mango zamani mliojiwekea ambao ni kati yenu wawili na kuongeza wa tatu?!?!Kama zamani inapotea pale unaponyoosha mikono yako kumkumbatia kimahaba ambae hauko nae kwenye hiyo zamani!!My sis...Najua u are very right there!Lakini nimewahi kusikia watu wanasema 'the truth will set u free'And that 'siku za muongo ni fupi....sijui za mwizi arobaini'Hayo tunayaweka in what position kuhakikisha kuwa maisha yanaendelea kuwa ya amani...Ni hayo tu!-Kaizer....kwani umecheat??!!
Smiles, kwani unafanya kila cku!??My sis...Najua u are very right there!Lakini nimewahi kusikia watu wanasema 'the truth will set u free'And that 'siku za muongo ni fupi....sijui za mwizi arobaini'Hayo tunayaweka in what position kuhakikisha kuwa maisha yanaendelea kuwa ya amani...Ni hayo tu!-Kaizer....kwani umecheat??!!
Dah...sijui ndo na mimi ntakuja kuongea lugha nyingine huko mbeleni?!Naomba isiwe hivyo....Kabla,enzi hizo karibu viswahili vyetu vingeendana Lizzy,leo nshakuwa kiumbe kingine kabisa.
<br>Smiles, kwani unafanya kila cku!??My sis...Najua u are very right there!Lakini nimewahi kusikia watu wanasema 'the truth will set u free'And that '<strong>siku za muongo ni fupi....sijui za mwizi arobaini'</strong>Hayo tunayaweka in what position kuhakikisha kuwa maisha yanaendelea kuwa ya amani...Ni hayo tu!-Kaizer....kwani umecheat??!!
Bado bado sitashawishika kuamin..Naingia home nimepaki gari, tai nimeilegeza kuliko cku zote,natoka kajasho kiaina..then naingia ndaniKabla hata hajaanza kunipa pole na kunipokea...Mimi: Duh, dunia hii inamambo jamani, tumshukuru muumba tu kwamba nimerudi salama mke wanguyf: kwani nini tena mume wangu?Mimi: acha tu mamii, yani watu wamefikia kiwango cha kulazimisha ili mradi tu wapate wanachotaka!!!Yf: ckuelewi baba nanii unajua?? unamaanisha nini hapo?mimi: wacha nikwambie mke wangu...namketisha kitako na hadithi inaanza..Basi leo niktoka kazini, si yule Lucy, yule anayefanya pale HR third floor..si unamkumbuka?yf: ndiyo namkumbuka. kwwani vipi?Mimi: basi nikitoka si akaniomba nimsogezesogeze mpaka posta akapande magari ya kwao sijui temeke mikoroshini.Basi nikaona isiwe shida, nikamwambia panda twende..yf: enheeMimi: Basi tukiwa katikati katikati uko si mara akanishika shati yuataka kunibusu kwa nguvu...yani sikuamini, kule kunichekea kote siku zote ndo alichokuwa akitaka..nikapiga break ghafla palepale nkamshusha...Yani I was so shocked kwamba bado kuna watu wenye mawazo finyu kiivyo. Yani yeye kutuvalia vimini kila siku ndo anaona tutamtamani.duh, basi nkapitia zangu break point pale kupunguza stress bana ndo nikaja hivi. yani we acha tu......Hapo je....
Kwa mfano, situation ipi ndo inafaa kusema?
Ugali na kibua mkavu na ndimu,Sijui km utaweza mamie...Maana leo umemwagika kweli hapa hahahhaEhehhehe...naja mpenzi...twala nini leo?!
Lizzy...u and I share the same idea, hatutakiwi kubadilika na ndio maana tunatakiwa kuwa wakweli,Lakini ndugu zetu hapo juu wanasema ukweli sometimes unaharibu...kwanini mtu anafikia kufanya tofauti na ipasavyo -- mimi siwezi jua!Kama unataka maisha yaendelee kama zamani kwanini unabadilisha mango zamani mliojiwekea ambao ni kati yenu wawili na kuongeza wa tatu?!?!Kama zamani inapotea pale unaponyoosha mikono yako kumkumbatia kimahaba ambae hauko nae kwenye hiyo zamani!!
Don't quote me wrong.... swali langu lilimaanisha -- zile moral principles zinazo tulinda tunaziacha wapi wakati tunajaribu kuficha ukweli wa maovu yetu??Smiles, kwani unafanya kila cku!??
...wengine wakitaka kuachana wanachukulia hiyo situation kusema walicheat ili kusitisha penzi...
Jamani...afadhali nusu ukweli kuliko uongo wote!Bado bado sitashawishika kuamin..
Afadhali ni nikipendacho munkari ushuke maana....daha kweli ndoa ndoano na mahusiano lupango!Ugali na kibua mkavu na ndimu,Sijui km utaweza mamie...Maana leo umemwagika kweli hapa hahahha
Don't quote me wrong.... swali langu lilimaanisha -- zile moral principles zinazo tulinda tunaziacha wapi wakati tunajaribu kuficha ukweli wa maovu yetu??
Hakuna bahati mbaya hapo....Wakati unafanya u were well aware of what u are doing!Na sababu itakayokufanya ukae kimya ni kwa sababu u intend to repeat the same mistake again... Typical guys!Ni jambo lililotokea bahati mbaya/accidentally...kuteleza kupo mamii...sasa mimi niumie afu tena nije kukuumiza na wewe? Haustahili kutendewa hivyo..wacha dhambi yangu inimalize mwenyewe tu...nitatubu!
ili kuondoa soo nitaenda tena na tena ili niwe mzoefu na kamwe sitasema!!!Bandugum
Poleni na maumivu ya bajeti, hasa kwa siye wanywaji...:A S embarassed:
yangu ni mafupi tu
Kama umecheat kwenye relationship, unaweza kuwa na guts za kumwambia mwenzio kwamba nimecheat? Hii nimeisikia kwen East Africa Redio asubuhi hii, and I thought lets share it
Kweli unaweza kumwambia mwenzio kuwa nimedo ze nidiful sehem sehem ama utajikausha
Niharakishe kuseam kuwa katiba yetu ya ISC inasimama pale pale vigezo na masharti kuzingatiwa
Good Friday!
Not really...mimi sitadanganya but ikitokea....Hakuna bahati mbaya hapo....Wakati unafanya u were well aware of what u are doing!Na sababu itakayokufanya ukae kimya ni kwa sababu u intend to repeat the same mistake again... Typical guys!
Bado sijakupata....But I'll leave it as it is for now!Not really...mimi sitadanganya but ikitokea....unajua wakati mtu unateleza huna much control of ur body! uamuzi unaupata kwamba usimame ama uendelee kubaki chini.Na kumwambia mkeo ni sawa na kuvua nguo hapohapo ulipoangukia...utaonekana chizi hata kama umechafuka! We baki na nguo chafu zako, utaenda kuziosha mbele ya safari..sijui umenipata!!??