Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Kuna mwanaume mmoja kazin!! all the time anapost vitu facebook! ukipata mda ukaingia huko unakuta kapost saa 6,7,8,9,10..! ilibid siku moja nimwambie bro hauko sawa kifamilia right!?

Akajaribu kukataa nilipombana hiyo angle alifunguka makubwa!!! hiz kuta za nyumba ziachane! na ukiwakyta na my wife wanapendana utapenda!!! ilibid nimshaur tu achana na facebook chukua likizo nenda kwenu kakae na mamako kwanza!!!kuta hiz zitakuwa mashahid siku ya kiama
 
kuna mwanaume mmoja kazin!! all the time anapost vitu facebook! ukipata mda ukaingia huko unakuta kapost saa 6,7,8,9,10..! ilibid siku moja nimwambie bro hauko sawa kifamilia right!?

akajaribu kukataa nilipombana hiyo angle alifunguka makubwa!!! hiz kuta za nyumba ziachane! na ukiwakyta na my wife wanapendana utapenda!!! ilibid nimshaur tu achana na facebook chukua likizo nenda kwenu kakae na mamako kwanza!!!

kuta hiz zitakuwa mashahid siku ya kiama

Kiukweli kama huna stress huwezi kukesha usiku huna usingizi! Usiku umetengwa maalum kwa ajili ya kupumzisha mwili na akili

Shukrani kwa mitandao kama huu wachawi na wanga wamepungua kwakuwa badala ya kufikiria vitu vingine vya ajabu anakuja JF
 
Banduku wale wapenzi wa uzi huu wa wakeshao kumecha tena! Mfahamishe na mwenzako
 
mtani punguza makavu ni fujo hizi ujue

Wenye mabebi wao saa hii MankaM huwezi kuwaona hapa saa hii wanajiandaa na mechi za mapema, huoni tu mwenyewe jukwaa lilivyopoa? Wale wenzangu na mie saa hii wengine wako kwenye TV na wengine bado wako nje wanatoa lock
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao
Wengi wana husika hapa💔👣💘💓😩😷😭😔😖😪😘😙👀msinipige mawe hamjuii nami niko wapi hapo

Pole sana
 
Ila wakati mwingine kuna hili swala la kuchokana tu , au unakuta hamna story ,, au unakuta mwenzako kalala we upo macho , au kuna kazi anafanya. So haiwezekani muwe mnafatana hapo nyuma na kufanya kila kitu pamoja. Hayo ni mambo ya ndoa changa au mahusiano machanga
 
Ila wakati mwingine kuna hili swala la kuchokana tu , au unakuta hamna story ,, au unakuta mwenzako kalala we upo macho , au kuna kazi anafanya. So haiwezekani muwe mnafatana hapo nyuma na kufanya kila kitu pamoja. Hayo ni mambo ya ndoa changa au mahusiano machanga

Raha yake muwe pamoja bhana!
kama hapa natuma sms na niko kwenye miguu ya my hubby!! burudanijeeee!!!
 
Back
Top Bottom