Wote Wanakuja Ungefanyaje Aisee...?

Mbona hawasemi wanakuja kufanyaje.inawezekana unaumwa so marafiki zako wa kike wanakuja kukutembelea.au sijaelewa kinachoendelea hapo
 
Mbona hawasemi wanakuja kufanyaje.inawezekana unaumwa so marafiki zako wa kike wanakuja kukutembelea.au sijaelewa kinachoendelea hapo

Mkuu si umeona Teddy kamuita kabisa baby. Kwa hiyo ni wapenzi hao mkuu...!
 
Hapo unachagua watatu kutokana na mazingira ya umbali wanaootoka ili uweze kupanga ratiba vizuri, mmoja atapitia chipsi, mwingine ambaye ndoa anaanza kutoka home kwao itabidi aambie kuwa nimetoka kidogo ila niko njiani kurudi nadhani tutakutana, huyo mwingine ambaye yupo karibia na mlangoni itabidi akaribishwe kisha shughuli itahamia uwanja wa ugenini...wakati narudi sasa...nadhani huyo mwingine atanikuta uwanjani huo nilipokuwa nakipiga na wakwanza baada ya yeye kuondoka, naye kitapigwa uwanja huo huo, kwa sababu naamini hiyo siku nitakuwa nafunga kama ninaye funga penaltie haitakuwa na shida maana hakutakuwa na kuandaana...mwisho yule wa mwisho ndo ligi litamalizikia uwanja wa nyumbani...hao wengine wote waliobaki ratiba zao itabidi zianzie kesho ili niweze kupasha na kupumzika...kwa mechi zijazo..
 

Hahahahah umetisha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…