Hahahahaha utaisaidia mahakama, shauri lakoKusema wapigwe tuu tumechoka sasa
Kusafisha ndala na kuzianika juani zikauke( sky way)
Kucheza rede na kombolela
Kupika pika Kene Vkopo vya Nyanya
Enzi za hujasoma gazeti la Sani, ama riwaya za Aristablus Musiba kama "Kikosi cha kisasi" "Kufa na kupona" "Njama" hujawa mjanja! Mtu ukimwita Willy Gamba ni bonge la ujiko!