Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,704
- 29,046
Ebwana wanaJF Mzuka!
Hii habari ya wosia wa Osama kwa baba yake nimeipata mda siyo mrefu kwenye gazeti lisomwalo na wengi dunian kuliko yote DailyMail online UK. Dah Dingi ni Dingi tuuu. Nimeipenda pale alipomsihi mshua wake awatunze vizuri watoto wake na mke na awaangalie mara kwa mara hata watakapofunga ndoa.
Pia Osama anaendelea kumuambia Dingi yake hawa watoto wametoka kwangu kama mimi nilivyotoka kwako kwa iyo ni wako Pia tuu. Anamalizia kwa huzun kwa kumuomba mshua wake amsamehe kama amemkosea na kwenda kinyume alivyopenda.
Dah Bin Laden!!
DINGI NI DINGI TUUU!