Wosia kwa mabinti

Sawa mkuu.Me kiukweli sipo kwajili ya kumchezea binti nipo serious na namaanisha but wao ndo wanakuwa tofauti hawanielewi.Almost wawili wamenifanyia vitu vya ajabu nikajiweka pembeni lakini sasa wanajuta.

we fanya kama nilivokwambia alafu wakati wako mungu atakuoneshea .usi force baadae ukaja kuona dunia ngumu.
 
Jifunze kiujua mwili wako vizuri.

Kalenda ya uzazi iko na wewe jitambue.

Ni nadra sana kutokea kuwa kwenye uhusiano na Mwanaume akahitaji kuzaa.!

Kwenye ndoa tu kwenyewe wanaume kuzaa kwao ni kwa hesabu kali sembuse huko nje ambako siyo rasmi ?
 
Swali kwako mtoa mada,

Je kijana wa kiume mwenye miaka 20 ambae hana mpango wa kuoa leo wala kesho akakojoe wapi?

Me naona ungewasgauri juu ya uzazi wa mpango tu, watoto wa miaka 20 hawawezi kuwa na mahusiano yenye malengo bana[emoji28]
 
Aliye kwambia watu wanazaa mtoto wa kike ili aje kuwa kipozeo cha nyege kwa vijana ni nani?

Kwa hiyo binti yako ww ambaye sasa hivi unamlea ali aje kuwa kipozeo cha nyege kwa vijana ambao hawajaoa hapo mitaani kwako?

Mkuu umeniuliza swali la ajabu sana, kila mzazi anapo zaa mtoto wa kike ana kuwa na fikira za binti yake aje kuwa mke na mama bora na sio malaya wa kupoza nyege za wanaume sema ndo hivyo mabinti ndo hawa jielewi.

Moja wapo ya sifa mbaya inayo muondolea sifa za binti kuolewa ni mwili wake kuchezewa hovyo hovyo.

Na ndio maana mwanaume yeyote akiwemo mm na ww tuko tiyari kuowa mwana mke mwenye kila aina ya tabia mbovu lakini si mwanamke mweye tabia za umalaya.
 
Waambie hao aisee mabinti wengi wanaoombewa wapate waume nawachekaga kishenzi maana demand zinapunguaga kichizi jinsi umri unavyozidi kwenda daa aisee sema sio mbaya ngoja tushuhudie 2034 itakuaje [emoji1787][emoji2772]
 
Utakuta vinalinga hatari ,dharau ,kejeli ,kujishaua ,na kujiona dunia yote yao kisa ana kishundu na chuchu saa sita ....wakishapigwa mimba kwishaaa habari yako ......single maza huyooo in ze biulidingi [emoji91][emoji91][emoji91]
We acha tu hata Mimi ndugu zangu ma single Maza nawaonaga Kama uchafu tu EeeHe Mungu nisamehe sema wamekaa Kama viazi tu yaani [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961] namshukuru Mungu Mimi ni mwanaume maana daah
 
Swali kwako mtoa mada,

Je kijana wa kiume mwenye miaka 20 ambae hana mpango wa kuoa leo wala kesho akakojoe wapi?

Me naona ungewasgauri juu ya uzazi wa mpango tu, watoto wa miaka 20 hawawezi kuwa na mahusiano yenye malengo bana[emoji28]
Kuna [emoji3467] na [emoji3475]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…