Wosia kwa mabinti

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
7,704
Reaction score
20,799
Wosia wangu kwenu acheni na ogopeni mahusiano yasiyo na malengo tena yaogope sana maana yamekuwa ni janga kwenu.
Unakuta binti yuko kwenye mahusiano na mtu fulani, lakini ukimuuliza malengo ya hayo mahusiano hajui ni kwa nn yupo kwenye huo mahusiano.

Mahusiano yasiyo na malengo ndo chanzo kikubwa cha single mother wengi mitaani.

Wanaume ni madira sana kuathirika na mahusiano ya namna hii bali wanawake ndio wahanga, kwa hiyo waathirika mnatakiwa kujilinda na nayo

Kwenye mahusiano ya namna hiyo mwanamke ana asilimia 99 ya kupoteza wakati kwa mwanaume ni asilimia 1tu tena na yenyewe nimempendelea.

Hasara ya mahusiano yasiyo na malengo kwa mabinti ni kama yafuatayo.

(1)una uwezekano mkubwa wa kupewa mimba na kukimbiwa, ukisha beba mimba na kuzaa jamii itaanza kukusakama kwa kukuita malaya na mwenye tabia mbovu, lakini kwa mwanaume huyo aliye kupa hiyo mimba mambo yatakuwa tofauti kabisa ,yeye atakuwa anasifiwa jinsi alivyo lijari na bigwa wa kusambaza mbegu,
na kwenye nyuzi za kuwaponda masingle mother ndo atakuwa mchangiaji mkubwa kwa kusema masingle mother ni watu wajinga na wasio jielewa na wala hawezi kuoa single mother.

(2)kuliwa hovyo hovyo na wanaume na kuachwa, yaani utageuzwa kuwa chombo cha wanaume kumaliza nyege zao.

Hivi binti utajisikiaje mwanaume aliye kula mbususu yako zaidi ya miaka 2 unasikia ameoa binti mwingine tena ambaye ww ulikuwa una mcheka kuwa ni mshamba na hana sura wala shepu?

Mabinti acheni kujilinganisha na kushindana na wanaume maana sisi na nyie ni tofauti na mna muda mfupi sana wa kutamba mbele yetu.
Japo hamtaki kuukubali ukweli lakini haubadiriki na mungu ndo aliamuwa iwe hivyo.
Mwana mke ukisha fikisha miaka 30 unakuwa huna jipya lolote mbele ya wanaume bali utakuwa unaonekana kama jimama fulani lililo shindikana mitaani.
Lakini kwa ss wanaume umri huo ndo kama tumezaliwa upya.

Mabinti jifunzeni kutumia ubinti wenu na ujana wenu vizuri kupata kilicho bora katika maisha yenu maana maisha yenu ya ujana mfupi sana.

Kama unajiona mzuri ,una tako, chuchu zina zochoma kama miiba basi tumia huo uzuri wako kutafuta mume aliye bora na sio kutumia uzuri kutembea na waume za watu na kuliwa hovyo hovyo mitaani utakuja kujuta maishani mwako.

Hawa wanawake wenzenu wanao jazana kwa mababii kuombewa ili wapate waume sio wajinga kama mnavyo fikiri ,bali na wao walikuwa ni mabinti kama nyinyi,na wao walikuwa wanatongozwa na kila aina ya wanaume kama nyinyi, walikuwa wazuri na walikuwa na tako kama nyinyi lakini waliuchezea ujana na ubinti wao kwa kudhani wangebaki nao milele sasa hivi wanajuta kwa hiyo na ww usione ajabu miaka 7 ijayo ukajikuta miongoni mwa hao wanawake .
Yangu ni hayo tu mwenye kusikia na asikie.
 
Halafu usijaribu kutaka kujibadilisha Kwa namna yoyote ili ili Mwanaume akupende,

Kuwa vile ulivyo umbwa na Mungu, jiweke usafi wa kawaida wa kuoga na sabuni ya mbuni na mafuta ya kawaida sio lotion.

Kuwa na tabia njema na heshima.

Hakika atakutafuta na utampata mwanaume atakae kupenda jinsi ulivyo bila kutumia nguvu.
 
Utakuta vinalinga hatari ,dharau ,kejeli ,kujishaua ,na kujiona dunia yote yao kisa ana kishundu na chuchu saa sita ....wakishapigwa mimba kwishaaa habari yako ......single maza huyooo in ze biulidingi [emoji91][emoji91][emoji91]
Mm huwa nawashangaa sana.
Yaani wangekuwa wanajua jinsi walivyo na muda mchache wa kutamba wangekuwa na akili.
Mwana mke ana miaka 10 mpaka 12 tu ya kutamba mbele ya wanaume wakati sisi tunatamba mpaka tunaingia kaburini.
 
Age 18-32 ya wanawake au mabinti uwa inakuwa kwenye utafiti mkubwa wa vigezo gani mwanaume wanaemtaka.
ndio maana wanaambulia kuwa single mother.
 
Kitu kimoja nikufundishe !. kila asubuhi piga goti kama mkristo au muislamu weka mikono miwili ukisema mananeo haya "mungu naomba nikosee vyote sio mke bali nipe mke bora"
Sawa mkuu.Me kiukweli sipo kwajili ya kumchezea binti nipo serious na namaanisha but wao ndo wanakuwa tofauti hawanielewi.Almost wawili wamenifanyia vitu vya ajabu nikajiweka pembeni lakini sasa wanajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…