Gustanza_The
Senior Member
- Aug 6, 2008
- 126
- 7
Now, Making the Grades:
First, my all-time favorite presidents in the world:
1. Thomas Sankara (Burkina Faso) "A-"
2. Alexander Lukashenko (Belarus) "B+"
3. Julius Nyerere (Tanzania) "B-"
4. Evo Morales (Bolivia) "B-"
5. Paul Kagame (Rwanda) "B-"
Gustanza, unataka kusema Sankara ni bora kumshinda Nyerere?
hili swali needs a bit of homework,cause kuna marais upheavels zao,ziliaffect not only their countries but the world over,positively or negatively.hence on this outlook the likes of sankara dont fit the mould-ngoja niende kazini nikirudi i will look kiundani at this
Yup!
Inapokuja kwenye sifa za kiongozi bora, kinacho matter zaidi ni utendaji bora wa kazi (sio maneno matupu). Kadhalika pia uwezo wa huyo kiongozi kuchonga vision of the future (kwa nchi yake) na kuwahimiza/shawishi wananchi wake kufuata hiyo vision.
Ndo maana utashangaa kuona nimpempatia Sankara "A-" kwasababu alikuwa anakaribia kwa kiasi fulani hizo qualities zote, even though he had some serious flaws compared to Mwl aliyeramba "B-" .
And yes, though there is no such thing as perfect leaders, we can be sure of a few things that good leaders have:
[1]A vision of the future (where he/she want to take the nation).
[2] The ability to articulate that vision and encourage others (followers/citizens) to jump into that vision, work hard on it, until the vision is achieved.
[3] (deleted): not relevant in the 21st century.
Now, Making the Grades:
First, my all-time favorite presidents in the world:
1. Thomas Sankara (Burkina Faso) "A-"
2. Alexander Lukashenko (Belarus) "B+"
3. Julius Nyerere (Tanzania) "B-"
4. Evo Morales (Bolivia) "B-"
5. Paul Kagame (Rwanda) "B-"
Second, the worst Presidents of all-time:
1. Hassan Ahmad AL BASHIR (Sudan) "D+"
2. "Mtalii" Jakaya Kikwete (Tanzania): "D-"
3. Idd Amin "Dada" (Uganda) He gets " F"
4. (deleted): He also gets "F"
5. "Mad" Bob Mugabe (Zimbabwe): I don't even know what to give this guy. He doesn't even deserve a " K-".
P.S. Ali H. Mwinyi (Tanzania): was # 9 on this list.
Congratulation,Tanzania !!
For both your first and second list (excluding Nyerere); I see you comparing desports! Your socialist/communist ideas led you draw such a comparison; most of those were/are worst leaders!
Best... Can't tally them up but no matter who you come up with, lazima Mandela awemo!
Worst Presidents:
[*]Adolf Hitler
QUOTE]
Titchaz,
Huyu jamaa muache kama alivyo. Nusu yake ni F na Nusu yake ni A. Ukiunga na kugawanya, unapata C. Nafikiri ndiyo jibu zuri.
Huyu jamaa ameigeuza dunia. Ujinga wake umeifanya dunia yetu hii iwe ilipo. Kuanzia kwenye madawa, maji salama (Clorine gas), magari mazuri, Atomic energy and bombs, rockets, nk. Waliiba sana nchi nyingine na kupeleka kwao. Na wengi walitoroka na mipesa na kwenda Argentina na Sweden. Mambo yalivyotulia wakarudi na mahela yao. Wajeruman walifaidika sana mwanzo. Kuna hadi PAPA na yeye alikuwa anachukua wafungwa na kwenda kuwatumikisha kwa bei chee..... Ubaya na uzuri wake inategemea unaangalia ukiwa upande gani. NAsikia aliugua VD na ndiyo maana ma CD alikuwa na donge nao sana.
Worst Presidents:
[*]Adolf Hitler
QUOTE]
Titchaz,
Huyu jamaa muache kama alivyo. Nusu yake ni F na Nusu yake ni A. Ukiunga na kugawanya, unapata C. Nafikiri ndiyo jibu zuri.
Huyu jamaa ameigeuza dunia. Ujinga wake umeifanya dunia yetu hii iwe ilipo. Kuanzia kwenye madawa, maji salama (Clorine gas), magari mazuri, Atomic energy and bombs, rockets, nk. Waliiba sana nchi nyingine na kupeleka kwao. Na wengi walitoroka na mipesa na kwenda Argentina na Sweden. Mambo yalivyotulia wakarudi na mahela yao. Wajeruman walifaidika sana mwanzo. Kuna hadi PAPA na yeye alikuwa anachukua wafungwa na kwenda kuwatumikisha kwa bei chee..... Ubaya na uzuri wake inategemea unaangalia ukiwa upande gani. NAsikia aliugua VD na ndiyo maana ma CD alikuwa na donge nao sana.
sikonge nakuunga mguu..guys..adolph hitler becide genocide aliu turn uchumi wa ujerumani ya leo ....kuanzia utafiti ,viwanda..ets just imagine miaka kumi aiyotawala ujerumani alileta MAENDELEO ya ajabu..na uwezo mkubwa kiuchumi ...
uwezo wa ujerumani ..hata kijeshi na kuweza kutaka kuitawala dunia ..kulihitajiresource nyingi ambayo leo hii hata marekani akianzisha vita ya dunia atapigwa na hawezi kufikia hata robo ya uwezo wa hitler kijeshi by comparizon...kwenye ile vita kosa kubwa alilofanya hitler ni kuchagua kuipiga RUSSIA kupitia siberia kipindi cha baridi kali....kipigo chao kilianzia hapo...
iwapo ujerumani hawangepigana leo wangekuwa mbali hata zaidi......
hata sisi tanzania tumeathirika na kipigo chao..kwa kuwa kipindi cha ujerumani maendeleo mengi yalifanyika tanganyika....muingereza hakujenga chochote zaidi ya kuchuma na kupeleka kenya...
kosa
...and probably the best president to come out of africa is none other then OSAGYEFO KWAME NKURUMAH. he had his drawbacks, but it is an undisputed fact that he was ahead of his times.from the word go,he knew ghana would always remain a neo colony unless it industrialised.he cut production of consumer goods,and ploughed all the capital available to the building of the akosombo dam. ghanians suffered, but he argued it was for the future generation...
well,well,well,GUSTANZA, i would be glad if you tell me,which african president succeded.