Zimbabwe? Haiwezekani
Equatorial Guinea na Petroli... Inasikitisha GDP ya kila mtu ni sawa na $ 27,000 lakini ni ya pili kwa Umaskini Duniani
Pesa ZOTE wanazoingiza zinakwenda kwa RAIS na MTOTO wake aliye na Majumba HOLLYWOOD na ndege za kubeba Magari ya kifahari
Ni aibu... KWELI SISI TUTAKUWA HIVVYO?? VIONGOZI wetu Midomo imefungwa wakati sisi kwa sisi tunagombana...
Equatorial Guinea, Middle Africa
Poverty rate: 76.8%
Population: 720,213
GDP: $19.79 billion (99th lowest)
GDP per capita: $27,478 (40th highest)
Haswaaaa. Kwani wameishia na 10 tu?Labda sisi ni number 11...
Zimbabwe? Haiwezekani
Kamanda
walitaka kuipeleka zimbabwe huko wameshindwa, ila ipo kwneye top 20
Zim is going to be better than most of sub saharan countries in 10 year kwasbabu wamefupisha ukoloni mamboleo
Guess who is protecting the president....Hao hao wanaopigia kelele utawala bora
Ina maana Tanzania imewashinda Zimbabwe?
Kamanda
walitaka kuipeleka zimbabwe huko wameshindwa, ila ipo kwneye top 20
Zim is going to be better than most of sub saharan countries in 10 year kwasbabu wamefupisha ukoloni mamboleo
Ina maana Tanzania imewashinda Zimbabwe?
Tanzania mbona cjaiona hapo?
Pendael hututendei haki great thinkers kwa kulazimisha mambo kwa hisia mkuu, Tanzania iko juu kwani kama ni namba ya 11,12, 13, 14 na kuendelea kwa sasa zinagombaniwa kwa karibu sana na Malawi, Zambia, Uganda, Sudani na vi-inchi kazaa !!!
basi na tumpongeze JK na serikali yake, na tuache kulaumu tu!!!:wacko:Yeah, Kwa sasa GDP ya Tanzania ni kubwa zaidi ya ZIMBAMBWE... na inaelekea kuipita ya KENYA kama hatukimbiza pesa USWISI
Mfano Mzuri ni UMEME tunatumia GAS; Inasemekana tunaokoa $ 1 BILLION ya kununulia OIL NJE sababu tunatumia GAS ya SONGOSONGO...