World's most powerful man

Anaelekea kuchuja huyo, stress za kuondoka kaamua kumalizia hasira zake kwa putin...
 
Obama ndie raisi mdhaifu/weak in history of america-trump comment.
 
...Subiri kuanzia tar 20 utamjua
Labda hivyo
Lakini mpaka sasa hakuna alichofanya mpaka awe regarded kuwa mmoja ya powerful man

Labda tweets zake ,tusubir kuanzia hiyo 20 ndio tutajua nguvu zake au porojo..
 
Putin is the most powerful man for two years in a raw. Kile kichwa ni level nyingine. Obama ni dhaifu na Putin amem-outsmart Obana katika ishu nyingi tu za kimataifa kwa hii miaka miwili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…