The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Gee mimi nimeishia kucheka aisee that backside ya Coleman....lolRonnie Coleman backside.....eeeeewwwww
Gee mimi nimeishia kucheka aisee that backside ya Coleman....lol
Gee mimi nimeishia kucheka aisee that backside ya Coleman....lol
Gee mimi nimeishia kucheka aisee that backside ya Coleman....lol
Sio lazima ujue..kimekuchekesha kitu gani na wewe!
Wife mdogo mdogo...Hapa ronnie coleman yupo na wife
Wife mdogo mdogo...
Hahahahahaha!!! Narubongo jamaa akikupiga roba na huo mkono sidhani kama utaponawaswahili wanasema wembamba wa reli, kwa kweli mimi kama mzazi au kaka wa dada siwezi kuruhusu mausiano ya namna hii
Aka t@ko-suguLike a butterfly!! Huuuh!
Equipment zilizopo pia za kawaida sana pia kama ulivyosema Protein Supplements piaBongo mambo ya fitness bado sana...uelewa ni mdogo!
Protein supplements watu wanadhani ndo anabolic steroids na human growth hormones. Kaazi kweli kweli.
waswahili wanasema wembamba wa reli, kwa kweli mimi kama mzazi au kaka wa dada siwezi kuruhusu mausiano ya namna hii
Bongo mambo ya fitness bado sana...uelewa ni mdogo!
Protein supplements watu wanadhani ndo anabolic steroids na human growth hormones. Kaazi kweli kweli.
Equipment zilizopo pia za kawaida sana pia kama ulivyosema Protein Supplements pia
Hivi mpaka "naniliu" nayo inakuwa kubwa/na misuli on a proportionate basis?Wife mdogo mdogo...