Hii nayo kwa wakaka jamamai kuweni na tahadhari na hakikisheni wake zenu hawana bra za hivi vinginevyo kuna siku lazima mtu atoe chozi wallahi,maaanake kule MMU kuna topic imeanzishwa ikiwataka wadada wawe wanawapa waume zao chakula ya usiku hata kama wamenuna,sasa kama we ni mwanaume na una tabia ya kuomba chakula ya usiku hata kama wife amenuna jiangalie sana,maanake iko siku utaomba chakula ya usiku huku mwenzio kanauna,naye ataamua kukupa siku hiyo tena gizani,kitakachokupata naona itakuwa siri yako.
Jamani "TAHADAHARI KABLA YA HATARI"tusingepnda kuja kuona mtu kaanzisha thread hapa aikapa kutotumia tena chakula ya mtoto ya mke wake.