J JATELO1 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,230 Reaction score 304 Dec 4, 2011 #21 kongosho said: Mi nadhani unafaa ubaki home ili uwasimulie wajukuu hadithi Ya hii shule yanaweza amsha hasira zilizolala siku nyingi bure Click to expand... Kongosho naye acha uongo! kwani wewe unakitoa bure? je bado kina ladha?
kongosho said: Mi nadhani unafaa ubaki home ili uwasimulie wajukuu hadithi Ya hii shule yanaweza amsha hasira zilizolala siku nyingi bure Click to expand... Kongosho naye acha uongo! kwani wewe unakitoa bure? je bado kina ladha?
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 4, 2011 #22 Nshakwambia huu sio ubuyu ambao ukimungunywa unaisha ladha tangu lini bia ikaisha ladha jamani au naongea na watoto? Kama ww ni mtoto kalale ngoma yenu haikeshi RDI said: Kongosho naye acha uongo! kwani wewe unakitoa bure? je bado kina ladha? Click to expand...
Nshakwambia huu sio ubuyu ambao ukimungunywa unaisha ladha tangu lini bia ikaisha ladha jamani au naongea na watoto? Kama ww ni mtoto kalale ngoma yenu haikeshi RDI said: Kongosho naye acha uongo! kwani wewe unakitoa bure? je bado kina ladha? Click to expand...
N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 14,913 Reaction score 10,622 Dec 4, 2011 #23 kongosho said: weye mlaji mchezeaji? biriani langu babu nimelipika kitaalamu nahitaji mtu mzima mwenye nguvu za kula liishe si watoto walimwage mwage Click to expand... kwangu usitie shaka, nguvu mpaka za ziada zipo, wasiwasi wangu ni birian kutontosha maana ulaji wangu ni p.r.n tena kwa dozi kubwakubwa tuuu
kongosho said: weye mlaji mchezeaji? biriani langu babu nimelipika kitaalamu nahitaji mtu mzima mwenye nguvu za kula liishe si watoto walimwage mwage Click to expand... kwangu usitie shaka, nguvu mpaka za ziada zipo, wasiwasi wangu ni birian kutontosha maana ulaji wangu ni p.r.n tena kwa dozi kubwakubwa tuuu
papag JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,272 Reaction score 1,923 Dec 5, 2011 #24 3. Ukiitumia sana ndo inakuwa strong, law of use and misuse Click to expand... i like dat