Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 346
Mmh! We binti una matatizo gani mpaka unajitolea kuwa specimen tena bila mlipo?naomba kuwa paermanent sample bila malipo.
Mmh! We binti una matatizo gani mpaka unajitolea kuwa specimen tena bila mlipo?
sina tatizo lolote
1. Nimepewa bure natoa bure
2. Ndo kazi yake hainisaidii hata kupika
3. Ukiitumia sana ndo inakuwa strong, law of use and misuse
4. Nataka kuwa CEO wa hii part ya ujuzi.
sina tatizo lolote
1. Nimepewa bure natoa bure
2. Ndo kazi yake hainisaidii hata kupika
3. Ukiitumia sana ndo inakuwa strong, law of use and misuse
4. Nataka kuwa CEO wa hii part ya ujuzi.[/QUO
Mmmmmmmmmh!!we nouma
Uki2mika sana ladha itakuishia, badili mtazamo bwana.sina tatizo lolote
1. Nimepewa bure natoa bure
2. Ndo kazi yake hainisaidii hata kupika
3. Ukiitumia sana ndo inakuwa strong, law of use and misuse
4. Nataka kuwa CEO wa hii part ya ujuzi.
Uki2mika sana ladha itakuishia, badili mtazamo bwana.
Mhhhhh Kongosho,
Kwema dada Mkuu???
Babu DC!!
Kwema babu
eti hawa vijana wanataka tuwauzie
mie spendi kabisa kuuza
Siyo kuniuzia, mi nataka unimilikishe kihalali kabisa, babu dc mwache kwanzaKwema babu
eti hawa vijana wanataka tuwauzie
mie spendi kabisa kuuza
DC, kutazama peke yake hairuhusiwi, hiyo ni practical skul. Uende na jembe just incase,lol
Siyo kuniuzia, mi nataka unimilikishe kihalali kabisa, babu dc mwache kwanza
Kwakua ushauri wa babu ni kama mkuki uchomao kuwili, waweza peperusha njiwa wetu pia.Wewe endelea kujaribu tu...Usiwe na shaka, jina lako linaeleza kila kitu,
Babu DC enzi zake zilishapita kitambo.........He is really harmless!!
Sawa tu Kongosho,
Yote ni mema ili mradi unapata kitu roho inapenda na unajihakikishia usalama wa kutosha!!
Mie nitaomba mnitafutie kazi kwenye hiyo shule yenu niwe mtazamaji wa kudumu!!
Babu DC!!
Siyo kuniuzia, mi nataka unimilikishe kihalali kabisa, babu dc mwache kwanza