Worldfence VS iTheme security, ipi nzuri?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,772
Reaction score
35,771
Wakuu habari?

Kama heading inavyosema, kati ya worldfence na itheme ni ipi plugin nzuri kwa security hasa kwenye wordpress website?

Nawasilisha mada!!
 
wordfence ndo baba lao wote. Nna miaka 6 naitumia na haijawahi kuniangusha inapambana na brute force attack kwa njia zote.
 
wordfence ndo baba lao wote. Nna miaka 6 naitumia na haijawahi kuniangusha inapambana na brute force attack kwa njia zote.
Hii nimeona kama ina kula sana space na inafanya website kuwa slow! hili unalisemeaje?
 
i themes nimeitumia kabla ya wordfence sasa i themes ndo inafanya web kuwa slow kuliko wordfence.
Kuna article nilikua naisoma jana na review za watumiaji wa wordfence baadhi wanalalmika kwamba wordfence inafanya website iload slow na baadhi wakaweka mpaka proofs, mfano wordfence inaongeza zaidi ya table 15 kwenye database wakati itheme inaongeza only 3 table!!

According to them kinachofanya wordfence ifanye website iload slow ni real time live traffic!

Soma hapa Wordfence slowing down site & how to speed it up! na japa 35 WordPress Plugins That Slow Down Your Site (From High CPU)

Nilitaka niweke wordfence hasa kwa popularity yake ila naada ya kupitia maoni ya watu nimeweka itheme kwa sasa!! pakiwa na ulazima nitachange badae!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…