World War 3: Turkey's Erdogan calls for 'ARMY of Islam' to ATTACK Israel on all sides

Hiyo unasema LAZIMA MRUSI NA MCHINA. watakuwa upande fulani.
Wamekwambia au unapanga wewe.
 
Ye bashar anasemaje khs Wakurdi kupigwa na waturuki ndani ya Ardhi yake(Syria).
Edorgan baada ya kukoswa koswa kupinduliwa na Adui wake anayeungwa mkono na NATO ... Baada ya kupenyezewa habari za kiintelijensia na majasusi wa Urusi... Edorgan akaamua kumshukuru Putin..nandio chanzo cha edorgan kufanya madeal kadhaa na Putin.


Putin hakutaka majeshi ya US..ila hakua nanamna ya kuyaondoa.

Majeshi ya US yanaungwa mkono na kulindwa na Wakurudi.

Kwaiyo Putin na Edorgan wakacheza mchezo.


Wewe jifanye kuwashambulia Wakurudi, nakwakua wee ni NATO MEMBA...NATI MEMBA US HAWEZ KUKUSHAMBULIA.


Uturuki kaamua kuwashambulia wakurudi..kwa lengo la kuwatimua US..US akastuka mapema..ye akatoa wanajeshi wake.

Ili kuua Soo, Uturuki akapewa ruksa kuendelea kuwachakaza wakurudi.

Wakurudi wakarusi kwa Bashar Al asaad ,wakakubali kua sehem ya syria.

Ngoma ikarudi...ili kusitisha mashambulizi ya wakurudi, Urusi na syria zimepeleka majeshi yake


Kiulisia Uturuki hatoweza mpiga Syria au Russia.


NB..napata hofu, Muuni anaweza akaamua kusonga mbele, mwisho wasiku NATO ikarudi kumsadia ....ingawa hii itazaa Vita kubwaaaaa
 
Hiyo unasema LAZIMA MRUSI NA MCHINA. watakuwa upande fulani.
Wamekwambia au unapanga wewe.
Sasa kaisari... Ata ukitumia akili utajua Dunia ya sasa imegawika ktk makundi mawili tu

Ukitizama uwekezaji wa kiuchumi wa Urusi ma mchina kwa sasa umeegemea nchi zipi..utanielewa......


Uchumi==Jeshi==Vita.
 
Hiyo unasema LAZIMA MRUSI NA MCHINA. watakuwa upande fulani.
Wamekwambia au unapanga wewe.
Sasa kaisari... Ata ukitumia akili utajua Dunia ya sasa imegawika ktk makundi mawili tu

Ukitizama uwekezaji wa kiuchumi wa Urusi ma mchina kwa sasa umeegemea nchi zipi..utanielewa......


Uchumi==Jeshi==Vita.
 
Yaani hawa watu wanaconfuse sana. Wafia dini hawa. Haya piganeni sasa tuone nani mshindi.
 
Hapo nimepata picha mkuu.

Shida ya Turkey hua ni Snitch hanaga misimamo kabisa.

Hivi Russia si alimuuzia Turkey zile S-400,sijui kama zimeshaanza kufanya kazi.

Jana congress limelalamika sana kwa Trump kuwatosa washirika wao(Wakurdi).

Ila Marekani imepata kichaa this time,wkt mtanange wa kuwatosa wakurdi ukiendelea Trump akawaambia General Mattis ndie the most overated and lazy in the history of US
 
Has Erdogan announced this or has it been "revealed"?. Was there a statement from Erdogan or it was in an article from a newspaper?.
 
NATO hawawezi kufanya huo upuuzi. Apambane kivyake Erdogan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…