Hiyo unasema LAZIMA MRUSI NA MCHINA. watakuwa upande fulani.Inaweza kua ndio WWW 3 ... Vita hii ni lazima Mrusi na mchina watakua upande wa Turkey..
Uku wamagharibi wakawa upande wa Israel.
Kama kunatukio litakaloweza sababisha vita ya tatu ya Dunia..ni LAZIMA LITAKUA LINAANZIA ISRAEL
Maana katika maandiko, ukimsoma Ezekiel , ametabiria ilo!!!
Umeishia darasa la ngapi ?Ni mwarabu kabisa
Edorgan baada ya kukoswa koswa kupinduliwa na Adui wake anayeungwa mkono na NATO ... Baada ya kupenyezewa habari za kiintelijensia na majasusi wa Urusi... Edorgan akaamua kumshukuru Putin..nandio chanzo cha edorgan kufanya madeal kadhaa na Putin.Ye bashar anasemaje khs Wakurdi kupigwa na waturuki ndani ya Ardhi yake(Syria).
Sasa kaisari... Ata ukitumia akili utajua Dunia ya sasa imegawika ktk makundi mawili tuHiyo unasema LAZIMA MRUSI NA MCHINA. watakuwa upande fulani.
Wamekwambia au unapanga wewe.
Sasa kaisari... Ata ukitumia akili utajua Dunia ya sasa imegawika ktk makundi mawili tuHiyo unasema LAZIMA MRUSI NA MCHINA. watakuwa upande fulani.
Wamekwambia au unapanga wewe.
Hapo nimepata picha mkuu.Edorgan baada ya kukoswa koswa kupinduliwa na Adui wake anayeungwa mkono na NATO ... Baada ya kupenyezewa habari za kiintelijensia na majasusi wa Urusi... Edorgan akaamua kumshukuru Putin..nandio chanzo cha edorgan kufanya madeal kadhaa na Putin.
Putin hakutaka majeshi ya US..ila hakua nanamna ya kuyaondoa.
Majeshi ya US yanaungwa mkono na kulindwa na Wakurudi.
Kwaiyo Putin na Edorgan wakacheza mchezo.
Wewe jifanye kuwashambulia Wakurudi, nakwakua wee ni NATO MEMBA...NATI MEMBA US HAWEZ KUKUSHAMBULIA.
Uturuki kaamua kuwashambulia wakurudi..kwa lengo la kuwatimua US..US akastuka mapema..ye akatoa wanajeshi wake.
Ili kuua Soo, Uturuki akapewa ruksa kuendelea kuwachakaza wakurudi.
Wakurudi wakarusi kwa Bashar Al asaad ,wakakubali kua sehem ya syria.
Ngoma ikarudi...ili kusitisha mashambulizi ya wakurudi, Urusi na syria zimepeleka majeshi yake
Kiulisia Uturuki hatoweza mpiga Syria au Russia.
NB..napata hofu, Muuni anaweza akaamua kusonga mbele, mwisho wasiku NATO ikarudi kumsadia ....ingawa hii itazaa Vita kubwaaaaa
Has Erdogan announced this or has it been "revealed"?. Was there a statement from Erdogan or it was in an article from a newspaper?.TURKEY’S President Recep Tayyip Erdogan and his ruling Justice and Development Party (AKP) have announced they want to create an “army of Islam” to wage war against Israel, it has been revealed.
Less than a month ago the Turkish state’s mouthpiece the daily Yeni Şafak ran an article for Erdogan titled “A call for urgent action” and on the newspaper’s website headlined “What if an army of Islam formed against Israel?”
It called for the 57 member states of the Organisation of Islamic Cooperation (OIC) to form a joint army to simultaneously attack Israel from all sides.
The article said: “If the member states of the OIC unite militarily, they will form the world’s largest and most comprehensive army.
“The number of active soldiers would be at least 5,206,100, while the defence budget would reach approximately $175billion (£124billion).”
The article provided additional details of the plan, saying: “It is expected that 250,000 soldiers will participate in the first of a possible operation.
“Land, air and naval bases of member states located in the most critical regions will be used.
“Joint bases will be constructed in a short period of time… It is possible for 500 tanks and armoured vehicles, 100 planes and 500 attack helicopters and 50 ships to mobilise quickly.”View attachment 1236249View attachment 1236251
Mh ulijuaje katabiri hivyo mkuuInaweza kua ndio WWW 3 ... Vita hii ni lazima Mrusi na mchina watakua upande wa Turkey..
Uku wamagharibi wakawa upande wa Israel.
Kama kunatukio litakaloweza sababisha vita ya tatu ya Dunia..ni LAZIMA LITAKUA LINAANZIA ISRAEL
Maana katika maandiko, ukimsoma Ezekiel , ametabiria ilo!!!
Erdoğan hanahata aibu yeye mwenyewe anachinja Waislam wenzake wakurd na Assad Syrians .
Erdoğan hanahata aibu yeye mwenyewe anachinja Waislam wenzake wakurd na Assad Syrians .
Madarasa yako ukijumlisha mawili,unapata darasa langu.Umeishia darasa la ngapi ?
NATO hawawezi kufanya huo upuuzi. Apambane kivyake Erdogan.Edorgan baada ya kukoswa koswa kupinduliwa na Adui wake anayeungwa mkono na NATO ... Baada ya kupenyezewa habari za kiintelijensia na majasusi wa Urusi... Edorgan akaamua kumshukuru Putin..nandio chanzo cha edorgan kufanya madeal kadhaa na Putin.
Putin hakutaka majeshi ya US..ila hakua nanamna ya kuyaondoa.
Majeshi ya US yanaungwa mkono na kulindwa na Wakurudi.
Kwaiyo Putin na Edorgan wakacheza mchezo.
Wewe jifanye kuwashambulia Wakurudi, nakwakua wee ni NATO MEMBA...NATI MEMBA US HAWEZ KUKUSHAMBULIA.
Uturuki kaamua kuwashambulia wakurudi..kwa lengo la kuwatimua US..US akastuka mapema..ye akatoa wanajeshi wake.
Ili kuua Soo, Uturuki akapewa ruksa kuendelea kuwachakaza wakurudi.
Wakurudi wakarusi kwa Bashar Al asaad ,wakakubali kua sehem ya syria.
Ngoma ikarudi...ili kusitisha mashambulizi ya wakurudi, Urusi na syria zimepeleka majeshi yake
Kiulisia Uturuki hatoweza mpiga Syria au Russia.
NB..napata hofu, Muuni anaweza akaamua kusonga mbele, mwisho wasiku NATO ikarudi kumsadia ....ingawa hii itazaa Vita kubwaaaaa
Anawatakasa na kuwasamehe dhambi zao.Israel yy anawafanyaje wayahudi weusi?
Mbrrrrrrrrr mbrrrrr mbrrrrrr aiiii nimebanwa na mafiii nisamehe chaliiii yangu mbrrrrrAcha ujinga wewe semenya masikio kama popo