World Vision

World Vision

teh teh..world vision lipo tanzania nzima kwa mika zaidi ya 20, makao yaka makuu yapo Arusha, na wapo karibu wilaya zote.

Ni wewe tuu umepata kichaa na kupenda kusikia habari zisizoeleweka ....World vision wametoa ajir anyingi sana za mikataba nchi nzima.Na ni maadui wakubwa wa catholic, ktk ajira zao mkatolic haajiriwi kabisa kirahisi.Ila kichwa yako bil habari km hizi haiendi.Huna tofauti na Lipumba au Ponda wanapenda sna sikia habari yoyote hata iongee uongo kiasi gani ila wakisema dhuluma na conspiracy ya Israeli, marekani, au hata Vatican basi wataipa support kubwa.

Jesuit ni shirika lililoanzishwa kwa ajili ya kulind ana kuendeleza Ukatoliki ktk nchi Amerika kaskazini ambao ni Evengelicals na protestants.Walishakuwa tishio kwa catholics.Sasa ktk struggle hiyo Mengi yatasemwa ktk hofu ya watu.Jesuit pia walipelekw amataiafa hostile km China, japan, Phillipines etc.

Sasa km ulikuwa kilaza na umechanganyikiwa halafu ukatua ktk hbari twisted km hii ni wazi kichwa yako haiwezi himili na kuchambua.

Jambo usilo lijua ni kama usiku wa giza! do not easily jump to conclusion,fanya utafiti utaujua ukweli na kweli itakuweka huru.mwaka 1990 nilisoma makala moja ya kiuchunguzi ilikuwa inazungumzia kuwa HIV ilipandikizwa kwa binadamu baada ya kutengenezwa maabara, na lengo lao ingawa halikuwekwa wazi sana ilionekana primarily ni kutaka kuangamiza waafrika lakini ikatokea kwa bahati tu wadudu hawa hawako selective wanawaua hata wao! ingawa sikuamini 100% but i was cautious kuto kuwaamini wazungu kwa kila jambo.world visio! halafu wanakuwa selective kuajiri watu kwa kuangalia ni waumini wa dini gani?
 
AIDS iilipandikizwa Haiti na United Nations vaccinations[kama ilivyopanikizwa Tanzania kwa njia hiyo hiyo,by vaccinations and innoculations,by the same United Nations' WHO],hii makala inaeleza how it was done,kwa njama za CIA,Vatican,na religious organization iitwayo,'World Vision,na pia kuwashirikisha majirani zao,Dominican Republic,na pia kumshirikisha Baby Doc Duvalier,and most important,kwamba Jesuits ndio wako mstari wa mbele kufanya hizi njama.
As for the veracity of this document,it is not for me to decide.

Asante Nyerere, umesaidia wavivu wa kusoma makala
 
Jambo usilo lijua ni kama usiku wa giza! do not easily jump to conclusion,fanya utafiti utaujua ukweli na kweli itakuweka huru.mwaka 1990 nilisoma makala moja ya kiuchunguzi ilikuwa inazungumzia kuwa HIV ilipandikizwa kwa binadamu baada ya kutengenezwa maabara, na lengo lao ingawa halikuwekwa wazi sana ilionekana primarily ni kutaka kuangamiza waafrika lakini ikatokea kwa bahati tu wadudu hawa hawako selective wanawaua hata wao! ingawa sikuamini 100% but i was cautious kuto kuwaamini wazungu kwa kila jambo.world visio! halafu wanakuwa selective kuajiri watu kwa kuangalia ni waumini wa dini gani?
unongelea issue mbili tofauti kwa pamoja na kujipa conlusion moja.Kupandikizwa wadudu ni issue moja, na mahusiano ya catholic na world Vision ni tofautikabisa.

Soma form zao za ajira catholic hana nafasi labda awe na special qualities ambazo wapo disperate kuzipata.Wanaweza shirikiana na wakatoliki ktk project mahali hakuna infrasturcture ila kwa malengo yao ya kupatia pa kuanzia.makanisa karibu yote yanakubaliwa ila catholic ni tofauti sana.


Issue ya kupandikizwa kwa hao wadudu, au ni jinsi gani walitoka lab prematurely hiyo ni nyingine.
 
Asante Nyerere, umesaidia wavivu wa kusoma makala

Nyerere alicholeta hakistahili pongezi, kuleta habari sensitive halafu ina makosa ni kuharibu akili za watu unawaita wavivu wa kusoma, huku ukisahau hata wasio wavivu wa kusoma wengi hawana uwezo wa kuchambua vitu.

-Wadudu kutengnezwa maabara na kuingia ktk jamii ni issue ingine.Kuanzia malengo ,hadi jinsi walivyo escape to the wilderness ni issue ingine.

-Mahusiano ya Catholic na US, UN na world vision si km unavyodhani.US si miaka Mingi kuwa mkatolic haikuwa rahisi kupata uongozi.Km US ndio wanatawala UN unaweza ona jinsi hagi catholic wanabanwa, world Vision ni shirika la protestants. ..nadhani unaelwa protestants ni nani na wanamwita papa ni nani..wanawaita wakatolic wapinga Kristu na mengine.

So kuleta uotofu ni damage na bora asingeleta kitu kw anaman hii, ni bora angeleta km maswali ili watu wachangie.
 
Back
Top Bottom