World Cup Brazil 2014...Special Thread

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,453
Reaction score
10,059
Karibuni wadau wa mpira wa miguu, hii ni thread ambapo wana mpira tutakuwa tunakutana hapa na kuelezana mambo muhimu kuelekea Kombe la Dunia, hasa wakati huu zikiwa zimebaki siku chache kabla ya mashindano kuanza hapo June. Mambo muhimu kama vikosi vya timu za taifa, kambi zao, nani unamtarajia kuwa bingwa na mengineyo,Karibuni wadauuu
 
Labda kwa kuanza tuu, niweke wazi kuwa mimi timu yangu itakuwa Ujerumani.
 
My team is brazil .......if it will fail ... I will shift to nigeria! Uzalendo kwa africa!
 
Machi 5 mwaka huu, kutakuwa na mechi za kirafiki za kimataifa ambazo zinatambulika na Fifa, mechi hizo ni za mwisho kabla ya ufunguzi wa mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia pale Brazil.
 
game la mwaka huu linaangukia muda mbovu sana kwetu EAT
 
Kiukwely kwa imani ya timu Yang Brazil ndyo timu pekee itakayoweza kuchukua kombe hlo kweny aridh take ya nyumba...hukuikiongzwa na safu ya washambuliaj hatar neymer jr...
 
game la mwaka huu linaangukia muda mbovu sana kwetu EAT

mechi zitakuwa zinapigwa muda mbaya sana kama vile saa saba usiku kwa hapa masaa ya hapa Nyumbani
 
Kiukwely kwa imani ya timu Yang Brazil ndyo timu pekee itakayoweza kuchukua kombe hlo kweny aridh take ya nyumba...hukuikiongzwa na safu ya washambuliaj hatar neymer jr...

Mcheza kwao hutunzwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…