Karibuni wadau wa mpira wa miguu, hii ni thread ambapo wana mpira tutakuwa tunakutana hapa na kuelezana mambo muhimu kuelekea Kombe la Dunia, hasa wakati huu zikiwa zimebaki siku chache kabla ya mashindano kuanza hapo June. Karibuni wadauuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.