World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kichwa chako cha habari umeandika Cooling break halafu unatuuuliza inamaana gani, labda ungeuliza kwanini
 
Mexico walikuwa bora zaidi dimbani kwa dakika hizi 45!Holland hawajafanya hata shambulizi moja la maana zaidi ya dubious penalty claim at the of added time!

Shame on them Holland
joto linawabeba wa mexico ila holand wanapita mechi hii
 
Timu ambayo inatafuta magoli hii world cup yote ni Brazil tu hizi nyingine wanatupotezea muda tu sioni kama wanataka hata kufika mbali wao wanalinda tu goli

Brazil ni hivyo home tu,hawana forward wa kuaminika,wote vimeo tu,9 fred???,lol,walikuwa na bahati xana jana
 
Naamini #TeamNetherlands tutashinda pamoja na hili joto kupunguza performance ya wacheza. Nisingependa iwe kama jana maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu yatumike ili kuamua nani anaendelea na nani anafungasha virago vyake.

Mungu atusaidie Team Holland,kwa kweli mtoano ni noma,maana mshindi na mshindwa lazima apatikane
 
Kipindi cha pili kitakuwa na mabadiliko makubwa.

1.Uhuru wa kucheza walioupata mexico kipindi cha kwanza hawataupata kipindi cha pili

2.Kasi ya mchezo itaongezeka aghalabu kufanya kila timu kusaka ushindi wa kulazimisha

3.Hakuna atakaependa kwenda mtowano wa penati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom