World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Last edited by a moderator:
Mkuu Mourinho ,usimuogope kavi mpaka sasa ndiyo mtabiri wetu na 100% yuko sahihi.

Na leo yupo huko alisha tabiri tangu kitaaambo huko nyuma..... kwa faida yako jisomee hapa chini mkuu.

Namuonea huruma my swiitiii everlenk ,maana du!

Ha ha haa!@katavi hakimbii hapa kuna records managers duh!@mourinho umeumia mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mourinho ,usimuogope kavi mpaka sasa ndiyo mtabiri wetu na 100% yuko sahihi.

Na leo yupo huko alisha tabiri tangu kitaaambo huko nyuma..... kwa faida yako jisomee hapa chini mkuu.

Namuonea huruma my swiitiii everlenk ,maana du!

Hahahahaha!! Hujui yule ni mdachi original,shauri yako we ombea tufungwe utajuta kunibembeleza
 
Last edited by a moderator:
Acha hizo weye!!! Tupo banaaa kama kawa...leo wengi wetu tuko #TeamArgentina...Tunausubiri huu mchapo kwa hamu tukitumai hautakwisha baada ya dakika 26 tu.
Hahaha BAK leo mpira hautaisha dakika za mwanzo ila mwisho wa siku wadachi wanenda kukutana na ndugu zao ndani ya ardhi ya bra7
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Mourinho ,usimuogope kavi mpaka sasa ndiyo mtabiri wetu na 100% yuko sahihi.

Na leo yupo huko alisha tabiri tangu kitaaambo huko nyuma..... kwa faida yako jisomee hapa chini mkuu.

Namuonea huruma my swiitiii everlenk ,maana du!

Mkuu adolay, nasikia Katavi kasema leo hana team, hiyo nukuu ni ya zamani na ameikanusha,lol!!
 
Last edited by a moderator:
Unajuwa mtu akiwa mnyonge sana na anajitaidi lazima tumpe nguvu ili afikie malengo yake
Mimi leo ni #Teamuholanzi maana jamaa wanamabalaa na kombe hili pamoja na jitihada zao
Wamefika fainali mara nyingi bila mafanikio ila wakati huu ninaamini watanyoosha mikono juu!!!
 
Hahahahaha!! Hujui yule ni mdachi original,shauri yako we ombea tufungwe utajuta kunibembeleza

Nitajitahidi wangu, usiponyamaza najuwa dawa namimi nikuanza kulia kwa uchungu, najuwa utanionea huruma ukinyamaza nami nageresha.

Maana sina namna[MENTION] Katavi[/MENTION] kesha tabiri siwezi badilisha
 
Jana nilikereka balaa Mkuu, fikiria unajiweka mbele ya TV na marafiki mkitegemea bonge la game halafu baada ya dakika 26 tu mchezo umekwisha!! I hope hii game ya leo itafidia japo kwa kiasi ile mediocre performance ya jana kwa raha zetu wapenda soka duniani.

Hahaha BAK leo mpira hautaisha dakika za mwanzo ila mwisho wa siku wadachi wanenda kukutana na ndugu zao ndani ya ardhi ya bra7
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom