Kabla ya WC kuanza nilisema kwamba vibonde wa kundi hili ni SA na France, salama ya hawa wawili ni ktk mechi ya Mex na Uruguay mmoja amfunge mwenzake kitu ambacho ni very unlikely, a draw will be enough for both teams.

Count both teams out, kwa sababu mechi ya mwisho wanakipiga Uruguay na Mexico, na wakipiga droo kila mmoja anakuwa na points 5 ambazo haziwezi kufikiwa na wote SA na France.