Uchawi wa Ujerumani utafanya kazi? Go Spain (nshabadili mawazo lol)
Wakuu, jana nilifurahi sana kuona wadachi wakimfunga yule pretender na kumtoa nje ya ulingo
Leo tena!!! Ila kwa leo sijui hata nishabikie timu gani. German wana smooth, and total football with lots of young and unspoiled talents... Spain have all my favourite player remaining in the WC... kuna Fabregas, Torres, Villa, Xavi, Xabi, Casillas, Pepe Reina etc
Nimepatikana but i will watch the whole game and smile at the end of it
INSHALLAH
Mhh, usitukane mamba kabla ya kuvuka mto.washabiki wa ujerumani mnaombwa kuwa wavumilivu na kuanza mkakati wa kujiandaa na mechi ya uruguay kutafuta mshindi wa tatu.
AHSANTENI.
@mmbebabox, will be trashed soon
umeuona utosi wa mzee puyol? hili gemu halina mjadala kabisa. mjerumani analazwa ufukweni leo.Mhh, usitukane mamba kabla ya kuvuka mto.