Duh! UK wana gunia golini! mpira upigwe Vingunguti hadi Mwananyamala na kufunga goli duh! Wataanza kujaribu mashoot ya mbali kuanzia sasa.
Jabulani inachagua mikono ya kutelezea? he he he..jabulani inatereza,hahahahaa
leo kazi pevu
Duh! UK wana gunia golini! mpira upigwe Vingunguti hadi Mwananyamala na kufunga goli duh! Wataanza kujaribu mashoot ya mbali kuanzia sasa.
jabulani inatereza,hahahahaa
leo kazi pevu
Naam jabulani imelalamikiwa sana na Kipa wa Brazil hata yule kipa wetu aliyebugizwa goli 5 alidai baadhi ya magoli yalitokana na jabulani kuteleza sana ukilinganisha na mipira mingine, lakini pamoja na kuteleza lile goli mhhhhhhh!
Watu wanataka kusingizia jabulani, ile ilikuwa ni routine save bana acheni kuleta uwongo wa redio Tanzania..ala!
Tehe teh........Nadhani tatizo ni mpira(Jabulani)...Makipa wameulalamikia sana..........unateleza na pia unawapoteza maboya.............nyways,ni goli....tugange yajayo
Bwa ha ha jamaa watatafuta kisingizio tu, au watamlaumu Kapelo kwa sababu ni muitaliani.ngoja waanze kulaumu "vuvuzela"..
ngoja waanze kulaumu "vuvuzela"..[/QUOTE]
lazima watachonga sana,tena wanabahati waafrika wengi wale "washangiliaji haswa"hawana uwezo wa kununua tiketi,maana ngoma za mwafrika zingevuma umo adi wachanganyikiwe...
Here we go Mkuu
Brazil Keeper Rubbishes New Jabulani Ball
May 29, 2010
By Anto11
Hot off the complaints of England player's over the unpredictability of the new World Cup ball, Brazil keeper Julio Cesar has likened it to a cheap supermarket ball.
"It's terrible, horrible. It's like one of those balls you buy in the supermarket", he said.
Brazil keeper Julio Cesar is widely renowned as the best keeper in the world, and recently helped Inter Milan to Champions League success, but this change in ball has him fearing for keepers positioning as the ball is so unpredictable.
He added: "The danger for goalkeepers is when they come off their line. They need to stay in a
safe place otherwise the ball will drop behind them and in to the goal".
It seems every time there's a change in the game, it is a change which hinders keeper's, and this seems to be another change hindering keepers.
The new Jabulani ball which means "to Celebrate" in Zulu language is said to be the roundest ball ever, but with complaints from both England and Brazil camps I can't see it been around for long, pardon the pun. Should this ball change be allowed or should they keep with the balls that the players having been using all season, one things for sure Cesar's complaint won't be the
mbona kwenye mikono ya Howard hautelezi? Tumeona makipa wa South Korea, 9ja nk wamekamata vizuri hata cross mbaya. Green anamatatizo yake. Kabla ya mechi wachezaji walimwambia Capello wanamtaka James, lakini Capello akasisitiza chaguo lake. haya sasa!