Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,344
- 1,531
Bank ya dunia kupitia ukurasa wake wa “ BUSSINESS DAILY “ imekaririwa kuwa mwenendo wa uchumi wa Tanzania uko kwenye hatihati ,Kwenye habari yenye kichwa cha habari kinachosema “ Tanzania growth slowed by Credit squeeze,Uncertainity over Magufuli” na hii ni ripoti ya sasa ya ( wB)
Bank ya Dunia inaripoti kuwa uchumi umeshuka baada ya pato la Taifa kushuka toka 7.2% mpaka 6.9% na hili ni kutokana na serikali kuminya sector binafsi hasa kwa kuzuia safari za inje na kodi kubwa,
Wanaripoti kuwa hizi ni sera mbovu za waliomuita kwa jina la utani “Bulldozer “ na kumtaja kama “ pagnatic leader –maana yake ni mtu wa migogoro,mgomvi na ni mtu kutaka mapambano wakati wote. (Pugnacious-quarrelsome,Fight readly,belligerent)
Pagnatic sio jina zuri kwa Raisi wetu Mh Dk John Joseph Pombe Magufuli,Kama tutakosa imani kwa Bank ya Dunia ni hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu. Majina haya mabaya kabisa duniani walipewa akina Pete Bodo, Herz ambao hawakuwa watu wa kutiliwa mfano hata kidogo katika dunia ya leo.
Bank ya Dunia inatanabaisha kuwa kwa sasa inchini Tanzania NPL (Non preforming loans-Yaani mikopo isiyolipika ) kwa mabenki ya biashara ni kubwa kulinganishwa na standandi za kimataifa ambayo haipashwi kuwa ≤ 6. Tofauti na ilivyosasa mabenki mengi NPL ni kati ya 8-25% kitu ambacho ni hatari kwa ustawi wa Taifa letu la Tanzania.
Bank ya dunia inaripoti kuwa kukurupuka-kurupuka kwa huyu Pagnacious kunawajengea hofu wawekezaji wakubwa na kwa kufanya hiyo hadithi yake ya “Tanzania ya Viwanda kubaki kwenye Mapango ya uchaguzi tu”
Bank ya Dunia inasema mabenk ya biashara yameongeza riba na gharama za mikopo ili kufidia mikopo isiyolipika. Mfano NMB 18%-24 (SWL) CRDB -19-23% in reducing/decline bases , Hii yote ni kutokana na mdororo wa kiuchumi. Bank ya Dunia imeishauriTanzania kukao meza moja na wawekezaji ili kutafuta njia bora ya kuimarisha uchumi wa Tanzania.
Banki ya Dunia inatanabaisha kuwa wawekezaji wameamua kupunguza uzalishaji na wafanyakazi kutokana na kodi kubwa wanayolipa na kushindwa kuwekeza miradi mipya ya maendeleo vikiwemo viwanda.
Watanzania huyu anayehubiri Tanzania ya viwanda anamdanganya Nani? na Kwa faidi ya Nani? Kila lenye heri endeleeni kuteka na kutesa watu.
Twafwaaaaaaa : Pato la taifa limepanda kutoka 7.9% - 7.2%- Raisi Magufuli –Kenya.
Link: Gogle: Tanzania growth slowed by Credit squeeze,Uncertainity over Magufuli