World Bank and IMF

Ibang

Senior Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
121
Reaction score
25
Wakuu habari zenu niliipost hii kitu jukwaa la kazi na tenda ila maybe ni kutokana na wahudhuriaji wachache maeneo yale nimekosa ninachokitaka so nimeamua niiweke hapa naamini nitapata hata mawili matatu
(Modes naomba wasiitoe wala kuihamisha)
nauliza hivi nafasi za kazi huko world bank na imf huwa zinatokaje na recruitment yao inakuwaje kuwaje?
Kwa sababu nimejaribu kwenda kwenye website ya world bank kama nitaona sehemu ya career nimeambulia patupu
na interest yangu ni marketing
kama kuna mwenye ujuzi na sio tu marketing kwano humu kuna watu wa finance, pr na Hr watataka kujua

natanguliza shukrani....
 
Usipeleke degree yako ya udom huko ukaabika bure. Kwani NMB wamekwambia nafasi zimejaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…