siku inakuja......Hizo sijui First na Business class mie sijawahi panda
Kuna mtu kauliza swali kwa nini Regional Air haipo? Jibu ni kwamba hizi tuzo ni scheduled airlines tu yaani mashirika ya ndege yenye kutoa huduma kwa ratiba inayoeleweka sio charters kama regional air
Mimi labda ni mshamba maana najua ukisema kuwa chartered unamaanisha kuwa ni ndege iliyokodiwa.Lakini nachojua Regional Air huwa inakodiwa sawa ila pia ina schedule na watu wanabook tena online kama tunavofanya kwa fastjet.Kwa kifupi tuz zimekosa ubunifu maana zilitakiwa zitaje ndege zinazotoa huduma kwa watalii maana naamini kwa category hiyo hata sisi tungeingia kwenye kumi bora