Workmate anadai katembea na mchumba wangu

Nina kaka yangu MTZ alikuwa anakaa ulaya akaja akaoa MTZ mwenzake akarudi ulaya. Baada ya miaka 10 wakarudi TZ. Mwanamke si akaanza kujirusha na waswahili. Yaani kaka yangu hana hamu. Ilibidi waachane. WATZ sio watu kabisa
mhhh ngumu kumesa
 
U
ulimkuta Bikra?ulimuuliza nani kaitoa?ulimuuliza ametembea na wanaume wangapi kabla yako?listen wazungu wengi ni wasema kweli hata kama una maumivu atasema tu,na baada ya hapo atasema samahni,waafrika wengi sisi ni waongo sana na hatupendi kuona watu wananfuraha hata siku moja,tuseme ametembea naye kweli,just assume ni wale aliotembea nao kabla hujamjua and move on kama unampenda,utakuja kumuacha ampende mtu mwingine hapo ofisini we ubaki na maumivu,nakuuliza je wewe tangu umjue na ukapangiwa kwingine hujatembea na mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…