Ndugu wadau wa WordPress, binafsi namiliki website niliyoitengeneza kwa WordPress kwa muda wa miaka miwili sasa. Siku za hivi karibuni nime experience tatizo la kushindwa ku "save" pale ninapofanya "editing". Ile "auto saving" haipo tena na hata ninapofanya "theme customisation" inaishia ku "search" tu na ina "fail" ku "publish" na ku "save" kama nilivyosema hapo awali.
Wadau mliomo humu naomba msaada wa tatizo hili, nini inaweza kuwa chanzo na nini kifanyike kutatua tatizo hili.
Aidha, natumia "Extra Theme" na hosting ni "Hostinger".
Asante