Kwanza itafsiri World Class Player kwa kiswahili. Na ondoa dhana kuwa World Class Player ni lazma awe straika.
Baada ya hapo, jua huyo mchezaji kwa uwezo wake anaweza akacheza timu yoyote kubwa duniani na kuibeba timu pale inapohitajika. Asiwe mchezaji wa msimu mmoja kama Ngolo Kante.
Mfano kwa beki, Sergio Ramos, Marcelo, Thiago Silva na wengineo ni mabeki ambao wanaweza kucheza katika timu yoyote bila kuwa na shaka na uwezo wao.
Hata ukija kwa magolikipa, mtu kama David De Gea ni Mchezaji wa kiwango cha dunia, anaweza akacheza timu yoyote ile kubwa duniani kutokana na tayri kwa misimu kadhaa ametuonesha uwezo wake!