Kyambambembe
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 326
- 354
Nahitaji mashine ya mbao popote ulipo cm no 0752842099 pia waweza nipata whatsapp kwa Hiyo no then tukafanya biashara
Lamba mkuu naomba kupata ya kuchana mbao shambani kwa saizi mbalimmbali kama 2x3,2x4,1x8, 2x6 .naweza kupata mashine hizo kutoka Europe new au used.natanguliza shukraniAina gani ya mashine unahitaji, rip saw,planer thicknesser, morticer au spindle moulder? Mimi hua naleta kutoka UK. Fafanua vizuri ili tufanye biashara mkuu.