Jamani eeh hivi hata mtu huwezi tumia common sense,unatoaje tangazo unaacha kuweka contacts,pics,na physical location hadi watu wakuulize,kila siku, ndo aina ya mistake tunazofanya humu! inaboa..ni as if hujui unachofanya.Mbaya zaidi baadhi yetu tuna tabia ya kupretend kua ukipigiwa au wasap ndo utatoa picha,tuache uzushi,e-business hatujaimaster ki hivyo.Tembela mitandao ya kuuza magari uone kama kuna info haipo kwa adverts zao.Tuache uswahili na magumashi.lets be professional.
Hii nchi bado ina safari ndefu ya maendeleo both mental,social and economic dev't.