Ofisi na kiyoyozi vipo, mhariri na waandishi makini hakuna! Haya ndio mazoea ya kuandika habari za udaku zisizo na ukweli wala zisizohitaji kuthibitishwa, sasa wanarukia habari inayohitaji uhalisi, mambo ndio haya!He he he he
Magazeti haya taabu tupu.
Hapo ukute kuna ofisi ya mhariri kuubwa na kiyoyozi full-time.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3]kunq na hiyo juzi
View attachment 879720
Inadhihirisha tusione ajabu waandishi kuwasiliana na wafu kumbe mambo mengi yanawezekana hata pasipo wezekana.kunq na hiyo juzi
View attachment 879720
only TZ yaani kuwa tu raia wa Tanzania ni maajabu tayari 7 ya Dunia[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3]
yaani Hawa waandishi Wetu sijui wanajifunziaga wapi?Inadhihirisha tusione ajabu waandishi kuwasiliana na wafu kumbe mambo mengi yanawezekana hata pasipo wezekana.
Duuuuuu hahahaaaakunq na hiyo juzi
View attachment 879720
Hilo ni gazeti la TANZANITEWaliofariki wasimulia [emoji13] View attachment 879627