Wondering News

waOLDmoshi

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2018
Posts
879
Reaction score
1,758
Wasafi tv wamekatisha ghafla matangazo yao ya moja kwa moja toka sumbawanga kwenye Tamasha la Wasafi festival.
Kwa kile niliicho ona,Kuna uwezekano mkubwa moja ya wasanii hao ameteleza jukwaani wakati wakitumbuiza Nyimbo ya ZILIPENDWA.
Either wawili Diamond na RayVan Kwa pamoja wameanguka
 
Sijaelewa
 
kwakweli hii ni wondering news... kwasababu its wondering news...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…