Miaka mingi iliyopita iliukuwa ni miaka yenye ufahari juu ya mwanamke,mwanamke alikuwa mwanamke kwelikweli,ni kweli alikuwa MSAIDIZI WA MWANAUME,kwa hali hiyo tulijivunia sana hawa wakina dada zetu na mama zetu.Waliwapikia waume zao,waliwafulia na mengineyo mengi.Lakini siku hizi mambo yamebadilika;wanawake wanataka haki,wanataka kuwa sawa na wanaume,hawapiki tena na wala hawawafulii tena waume zao,wanachotaka waoni HAKI SAWA,eti mwanamke akipika mchana basi mwanaume apike usiku,kulea watoto eti pia iwe zamu.MIAKA HIYO WAKINA DADA WALIPIKA KAMA MAMA ZAO LAKINI SIKU HIZI WANAKUNYWA KAMA BABA ZAO,DUUUUUUU.Je usaw huu unaopiganiwa na wanawake ni sawa?nini faida zake na hasara zake?
Miaka mingi iliyopita iliukuwa ni miaka yenye ufahari juu ya mwanamke,mwanamke alikuwa mwanamke kwelikweli,ni kweli alikuwa MSAIDIZI WA MWANAUME,kwa hali hiyo tulijivunia sana hawa wakina dada zetu na mama zetu.Waliwapikia waume zao,waliwafulia na mengineyo mengi.Lakini siku hizi mambo yamebadilika;wanawake wanataka haki,wanataka kuwa sawa na wanaume,hawapiki tena na wala hawawafulii tena waume zao,wanachotaka waoni HAKI SAWA,eti mwanamke akipika mchana basi mwanaume apike usiku,kulea watoto eti pia iwe zamu.MIAKA HIYO WAKINA DADA WALIPIKA KAMA MAMA ZAO LAKINI SIKU HIZI WANAKUNYWA KAMA BABA ZAO,DUUUUUUU.Je usaw huu unaopiganiwa na wanawake ni sawa?nini faida zake na hasara zake?
nashukuru kwa kuedit,ila mbona mnaipa kipaumbele sana gari?ukimnunulia gari si kama zawadi as vile unaweza mnunulia boxer,so majukumu ya mwanaume yatabakia kuwa majukumu ya mwanaume n mwanamke atabakia na majukumu yake.
my dear instead of kulalama na kuanza kwenda history za kale tugange yajayo, mi kijana wangu namfundisha kupika na kazi na kumwambia ukweli dunia imebadilika kuliko kumdanganya ajione kidume kumbe wanawake wenyewe siku hizi ndio hao kama wanaume tu. tuwaambie vijana wetu ukweli kuwa dunia imebadilika na itaendelea na kuzidi kubadilika mambo ya karne zilizopita hayapo tena, we hata angalia familia za sasa zinavyolea watoto wao utachoka binti anakua msichana hata chai hajui kupika loohh!!!!!
FYI this is a male poster. kama mke wangu kachoka au kazidiwa kazi sioni shida kumpeleka blaine junior clinic. Sikujieleza vizuri mwanzoni, nilitaka kusema wanawake hawaheshimiki sehemu nyingi hasa vijijini, ona jinsi wasichana wanavyoozwa wakiwa wadogo, vipigo nk. wanawake wanataka hali hii iishe, mimi siongeleii zamu za kupika/kufua/kuosha vyombo nkunaweza kuniambia mwanamke anabagulia katika lipi?unazumngumziaje hizi harakati zenu za kutaka hadi baba ampeleke mtoto kliniki?
FYI this is a male poster. kama mke wangu kachoka au kazidiwa kazi sioni shida kumpeleka blaine junior clinic. Sikujieleza vizuri mwanzoni, nilitaka kusema wanawake hawaheshimiki sehemu nyingi hasa vijijini, ona jinsi wasichana wanavyoozwa wakiwa wadogo, vipigo nk. wanawake wanataka hali hii iishe, mimi siongeleii zamu za kupika/kufua/kuosha vyombo nk
kama unaona ni halali mimi kusaidia kulipa bills kama nina uwezo unashangaa nini wewe kunisaidia kuosha vyombo kama upo home? mbona wakaka mnajipenda sana?kama ambavyo imeandikwa mwanamke ni msidizi wa mwanaume,so ni jukumu lako wewe kuhakikisha mumeo anakula vizuri na anakuwa msafi,lakini pia kumsaidia kwenye bills kama unauwezo.
kama mkeo anakusaidia majukumu yako kwa nini wewe usimsaidie yake?? mke karudi saa 12 unataka aanze kupepeta mchele wakati wewe umetulia kwenye TV, wachache wataokubali hicho unachotaka. mke akiomba umsaidie kitu reasonable fanya hivyo.kaka kupigwa na kunyanyaswa ni tofauti na utekelezaji wa majukumu ya mwanamke,ninachochesema hapa ni pale mwanamke anapodai afanyiwe kazi na mwananume ambazo alipaswa kufanya yeye mwenyewe,kumpiga mwanamke sio ishu.
kama mkeo anakusaidia majukumu yako kwa nini wewe usimsaidie yake?? mke karudi saa 12 unataka aanze kupepeta mchele wakati wewe umetulia kwenye TV, wachache wataokubali hicho unachotaka. mke akiomba umsaidie kitu reasonable fanya hivyo.
Kwangu mwanaume yeyote anayeshindwa kuya handle majukumu yake ipasavyo na kuja kuishia kulalama hapa ni wazi ana matatizo.
Kila kitu kimeundwa/umbwa so kama ukiwa mwanaume kweli usitegemee out of the blue mwanamke afanye vile utakavyo. Ndoa na familia pamoja na muundo wake hujengwa. Mwanaume ukiwa kichwa cha familia na kutimiza majukumu yako sidhani kama mkeo atapata nafasi ya kukupanda kichwani. Nadhani hapa unazungumzia zaidi ya kuosha vyombo, unazungumzia zaidi mamlaka ya mwanaume kutotambulika. Usipojenga heshima kwa mkeo atakuheshimu kweli?
Mimi napenda Mume wangu awe na mamlaka na mwenye kuwajibika...mamlaka hayo kwa maana ya kumanage wajibu wake vyema sio mamlaka ya ku abuse
Siku mtakapoacha kudai 50/50 sharing of bills na ndio sio siku tutafikiria kuwapikia 3 x a day na kuwafulia.
Miaka mingi iliyopita iliukuwa ni miaka yenye ufahari juu ya mwanamke,mwanamke alikuwa mwanamke kwelikweli,ni kweli alikuwa MSAIDIZI WA MWANAUME,kwa hali hiyo tulijivunia sana hawa wakina dada zetu na mama zetu.
Waliwapikia waume zao,waliwafulia na mengineyo mengi.Lakini siku hizi mambo yamebadilika;wanawake wanataka haki,wanataka kuwa sawa na wanaume,hawapiki tena na wala hawawafulii tena waume zao,
wanachotaka waoni HAKI SAWA,eti mwanamke akipika mchana basi mwanaume apike usiku,kulea watoto eti pia iwe zamu.MIAKA HIYO WAKINA DADA WALIPIKA KAMA MAMA ZAO LAKINI SIKU HIZI WANAKUNYWA KAMA BABA ZAO,DUUUUUUU.Je usaw huu unaopiganiwa na wanawake ni sawa?nini faida zake na hasara zake?
kama ambavyo imeandikwa mwanamke ni msidizi wa mwanaume,so ni jukumu lako wewe kuhakikisha mumeo anakula vizuri na anakuwa msafi,lakini pia kumsaidia kwenye bills kama unauwezo.