http://shine.yahoo.com/channel/beauty/when-is-it-ok-to-go-braless-515277/You ladies out there with the delightfully perky boobs what say you? Do you ever skip the bra just because you can? Where and when do you think it's appropriate to do so, and how do you justify your decision? And for everyone: is going without a bra simply a matter of comfort or is there a thrill in being that much more exposed?--
Hata mie kaka nimeshanga nikadhani umeibiwa password!
Me am not the right candidate maana ah mashallaw nimejaaliwa kifua so cant go without it!!
hapa zaidi zaidi si ukubwa MJ1..ni more-or-less something to do with our 'values'..hata yengekuwa madogo kiasi gani, je unadhani ni sawa kwenda 'kifua wazi' bila bra? assume uko kulee bumbuli...
afu hapo juu ..ebu nimefunga sita ndo nini ivo?
Hahahaha we sita zako zimeanza lini maana wenzio weshamaliza kitambo lol!!
Ah ok kwa hivyo sawa mwanamke kujisetiri lazima bwana ila naomba niulize dhamani hizo kulikuwa na bra? au (maana sijui )
Aaa Mj1 maswali gani hayo? Zamani vitu vilikuwa nje nje. Kasketi ka unyasi kanaishia juu ya katikati ya upaja. Kwishnei! Hamna cha bra wala nini. Lakini bra ina raha yake kwenye majamboz hasa wakati ule ndo inavuliwa.......acha tuishei hapa, mwezi bado haujatokomea vizuri.
Nimeuliza hivyo kwa sababu kaizer amegusia suala la our values si ndo nikasema nipate uhakika? Did we have the bras back then au ndo yalikuwa mambo ya lubega of which haina tofauti na kwenda braless.
Eh eti mwezi haujatokomea vizuri!!
Hahahaha we sita zako zimeanza lini maana wenzio weshamaliza kitambo lol!!
Ah ok kwa hivyo sawa mwanamke kujisetiri lazima bwana ila naomba niulize dhamani hizo kulikuwa na bra? au (maana sijui )
Of course zamani haikuwepo, lakini hapa tuangalie zaidi wakati tulio nao,,..ya zamani yamepita kitambo!
kwa wale wanaokwenda kwa mwendo wa braless...huwa wanalionaje hilo na wanajisikiaje tofauti na wakivaa?
kwangu mimi naona wakati mwingine ni sexy kama alivosema mkuu Chrispin hapo juu..kuivua kabla ya majamboz inaleta 'mhemko' flani hivi,
Lakini kwa upande mwingine imaginations....za kwamba mtu hajavaa.....
ehee hili nalo tamshi...............
Aaa Mj1 maswali gani hayo? Zamani vitu vilikuwa nje nje. Kasketi ka unyasi kanaishia juu ya katikati ya upaja. Kwishnei! Hamna cha bra wala nini. Lakini bra ina raha yake kwenye majamboz hasa wakati ule ndo inavuliwa.......acha tuishei hapa, mwezi bado haujatokomea vizuri.
Me am not the right candidate maana ah mashallaw nimejaaliwa kifua so cant go without it!!
mmmmm kwa kweli hata mie najiuliza umeamkia upande upi??? duh@@@http://shine.yahoo.com/channel/beauty/when-is-it-ok-to-go-braless-515277/
labda niongezee kwa upande wa wanaume:
Do you find braless women sexy or not sexy compared to 'unexposed' boobs? What are the limits kwa upande wetu kibongo bongo?
nakaribisha maoni....leo sijui nimeamkia wapi
Inategemea umeelewaje somo ndugu yangu!!we umejaaliwa sio????????mhhh
chako kinajitosheleza kwa bra siyo?
Kiongozi hapa tupo ukurasa mmoja kabisa...dah..imenipeleka mbali kweli..
yeah sh_it happenz but what is ur take on this? LOL
eheehehehehhe....for me bra all the time...kuna vile ukishazoea u feel naked! siwezi kutoka bila. and of course pia kwa kuongezea naniiii kwenye naniiiiiiiiiiiiiiiim kwi kwi kwi
eheehehehehhe....for me bra all the time...kuna vile ukishazoea u feel naked! siwezi kutoka bila. and of course pia kwa kuongezea naniiii kwenye naniiiiiiiiiiiiiiiim kwi kwi kwi