Ndg Hotcold, mbona wanapatikana pale klabu ya wakati wa giza ya AMBIANCE karibu na Africa sana, kumbuka wengi unao wataka hawana acess ya mitandao ya net!
Daaaah kweli ID ya 2008 jamaa atakua kwenye 40 ID ya jamii forums huwa inatoa Details za age ya mtu sometimes wengi hujiunga baada ya kumaliza 6 au wakiwa vyuo
Ndg Hotcold, mbona wanapatikana pale klabu ya wakati wa giza ya AMBIANCE karibu na Africa sana, kumbuka wengi unao wataka hawana acess ya mitandao ya net!
huyu member huko alipo sijui kama anaikumbuka JF ,aliiingia kibahati mbaya kbsa unamuona hata jinsi alivyojiunga mpk last seen yake unaona kbsa huyu mtu alijikuta tu JF bila ya yeye kutarajia ila lengo lake ilikua ni kufika badoo nadhani atakua huko.