Women to women

Yamesemwa mengi hapo lakini ishu kubwa naiyona wanawake wanakujishtukia kwingi sana hawajiamini hata kidoga hatakama ni mke wa mfalme duh!! hii ni ngumu kubadilika.
 
umesahau adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe!!!! lakini yote hii inatokana na wivu na kutojiamini kuwa tunaweza kusaidia watu wote pasipo kuangalia jinsia yao.
 
Umenikumbusha kuna kitu kinaitwa law of magnetism nilisoma form 2 more than 20 yrs ago inasema, Like charges repel on each other while unlike charges attract on each other

if that is the case!mbona kwa wanaume c hivyo,ni chuki na wivu,ndio unawasumbua wanawake wengi.
 
mie nahisi wanaume ndio chanzo,kwa vile mko wachache wanawake tuko kny competition kuwapata hence war with each other.....:dance::dance::A S 103:

kama wanaume wachache mbona mwanamke mmoja unakuta ana mabwana watano. Anawatoa wapi hao wote?
 
Wivu, Ignorance, Viwango, suspision, nature, survival of the fittest ... The list can go on forever.... Na sababu nyingine ni nyie wenyewe guys ... una mwanamke wako hapa.. akija mwingine unamuangalia kama vile ulonae hapo si lolote....
lakini wataalamu wa masuala ya mahusiano wana shauri usimzuie mumeo kuangalia mrembo
 
Umenikumbusha kuna kitu kinaitwa law of magnetism nilisoma form 2 more than 20 yrs ago inasema, Like charges repel on each other while unlike charges attract on each other

kwa nini iwe kwa wanawake tu na sio kwa wanaume pia?
 
Back
Top Bottom