Wanaume wachache wapi huko???mie nahisi wanaume ndio chanzo,kwa vile mko wachache wanawake tuko kny competition kuwapata hence war with each other.....:dance::dance::A S 103:
Chuki binafsi...
Wivu.....
Ujinga.....
Binafsi siwezi kumchukia mtu bila sababu....hata wanaonipa sababu tu nawapotezea achilia mbali mtu nisiyemjua!Yanini kujichosha na kitu ambacho hakina faida kwangu wala hasara kwa huyo mwingine!!!
Wivu, Ignorance, Viwango, suspision, nature, survival of the fittest ... The list can go on forever.... Na sababu nyingine ni nyie wenyewe guys ... una mwanamke wako hapa.. akija mwingine unamuangalia kama vile ulonae hapo si lolote....
Pauline, hilo la wanaume kuwa wachache sikualiani nalo. We kumbuka mdada anamchukia mwenzie bila sababu zozote, hawajuani hapa mwanaume anaingiaje? Mi naona kumchukia mtu bila sababu ni ujinga, wivu, ushamba n.k. Afu wanaume wako wengi au tuko sawa kwa sawa!mie nahisi wanaume ndio chanzo,kwa vile mko wachache wanawake tuko kny competition kuwapata hence war with each other.....:dance::dance::A S 103:
Yaani sie wanawake sijui tukoje, utakuta mtu anajisikia tu kumchukia mtu bilasababu, labda unaona anapendwa sana na watu wengi, au ana mafanikio makubwa kuliko wewe, bila sababu mtu anaanza kumfanyia mwenzake visa, Yaani wanawake wenzangu tusipopendana wenyewe unadhani tutapendwa na nani? kwanza upendo uanze kwetu from there unaweza sambaa na kwengine. Mfano mzuri ni Big brother, akienda msichana hamna anaejali, ngoja aende mvulana watapiga watu kura mpaka basi, TUBADILIKEWivu, Ignorance, Viwango, suspision, nature, survival of the fittest ... The list can go on forever.... Na sababu nyingine ni nyie wenyewe guys ... una mwanamke wako hapa.. akija mwingine unamuangalia kama vile ulonae hapo si lolote....
haya bwana AD
Yaani sie wanawake sijui tukoje, utakuta mtu anajisikia tu kumchukia mtu bilasababu, labda unaona anapendwa sana na watu wengi, au ana mafanikio makubwa kuliko wewe, bila sababu mtu anaanza kumfanyia mwenzake visa, Yaani wanawake wenzangu tusipopendana wenyewe unadhani tutapendwa na nani? kwanza upendo uanze kwetu from there unaweza sambaa na kwengine. Mfano mzuri ni Big brother, akienda msichana hamna anaejali, ngoja aende mvulana watapiga watu kura mpaka basi, TUBADILIKE
Unaonaje tukianza wenyewe kubadilika bila kujali kama wengine watabadilika maybe tutakuwa tumepiga hatua fulanikubadilika Gaga.... Kazi ipo dear... Ni sawa na kusema mtu akatazwe kwenda haja ndogo akiamka tu asubuhi na asubiri mpaka jioni....
Unaonaje tukianza wenyewe kubadilika bila kujali kama wengine watabadilika maybe tutakuwa tumepiga hatua fulani