Heri ya Pasaka wana-MMU!
Nataka kufahamu ni kitu gani ambacho mwanamke anakihitaji kwa mwanaume na mwanaume lazima amtimizie mwanamke kama sehemu ya majukumu yake!
Nimetafakari na kugundua kwamba wanawake mahitaji yao hayana mwisho kila wakati wanauhitaji,.
Wanaume wengi tunaishi na wanawake ndani ya nyumba kwa kuvumiliana tu lakini siyo kwamba wanawake tulionao wameridhika na maisha tunayoishi nao!!
Sasa tutawaridhisha vipi hawa wanawake?,..