The need to be united with someone who provides friendship, love, support and emotional balance is a universal phenomenon.
Marriage is a transcendental step, .....it should be taken for a reason.
In which sense?Marriage is a Fraud. Call it a scam if u like
MmhπUmeona eeh ?
Hahahah...We mtoto.inaonekana mtamu. Hakuna msichana nampenda kama.anaejibu texts like " mmh" .
Nikukute pm
They are ' muhimu' in their capacity as an extraKuna mfano mdogo:-
Kwa hali hiyo,mwanamke au mke ni muhimu kwa maisha yako
- kwenu mmezaiwa 3,wewe,dada yako,kaka yako
- Dada yako kaolewa yuko kwenye mji wake anamsikiliza mumewe
- Kaka yako ameoa yuko kwenye mji wake na anamsikiliza mkewe
- Wazazi wako bahati mbaya Mungu kawachukua au hawajiwezi au wamezeeka sana
- Wewe kwa bahati mbaya umepata ajali ukapoteza mikono.Je,wewe kimbilio lako litakuwa ni lipi?Kama hutosema dunia imekutenga?
I can see,clearly"Am serious like Neva before
ha ha ha ha,hapana uwe masikini au tajiri kuwa nao ni 'essential and not extra'They are ' muhimu' in their capacity as an extra
ππππππEven Steve Wonder can see that