I remember to read this kind of artical on Twitter after Michael Dean wrote the book REAL MEN DON'T TEXT na ilikuwa zamani kidogo 2013 mwanzoni then ikasambaa sambaa FB na kwingineko.
Ila sio vibaya tukiijadili humu JF, kwanza niseme inapendeza tukiachana na kuleta nyuzi kwa kiingereza tukabaki na viingereza vyetu kwenye post badala ya thread.
alafu mie nashangaa sana kwa nini wanaume tutongoze wakati sie ndio tupo wachache....mie sifanyi ujinga wakutongoza mie ninaomba kugegeda hataki naondoka.