Women are amazing

duh,ko utajiwowa mwenyewe au utakua kicheche for life?
Mkuu, kicheche for life ndo nini tena??? Maana sasa ili niwe na girlfriend inabidi nitafute dictionary ya hiyo lugha yao! Vinginevyo itakuwa lugha gongana tuu! Na huo unafiki sitauweza kabisa.
 
hahaha,kweli mkuu,...ndo mda huu lakini umeshapata dictionary yao
 
Back
Top Bottom