Woman with three boobs...

Mamito umerudi? nilikumisije!!! Watu walikuwa wananionea sana humu na mada zao kama hizi za kutishana bhana.

we nimerudi jamani ndo maana breki ya kwanza ilikuwa ni kukutafuta wewe.......
Nilikumiss mi mwenyewe

mtetezi nimerudi full kuteteana
 
we nimerudi jamani ndo maana breki ya kwanza ilikuwa ni kukutafuta wewe.......
Nilikumiss mi mwenyewe

mtetezi nimerudi full kuteteana
Wiki hii nimeshikika na vikao vya hapa na pale, mpaka najikuta napitwa na jukwaa siku nzima. Lakini usijali tuko pamoja pia mamito
 
Pamoja na unazi hapo full kuchanganyikiwa.......ila la hamu hapo moja tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…