Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,022
huwa tunaambiwa ukitaka kumsahau mtu kwa haraka basi uwe unajikumbusha kero zake. Naona umeamua ku- apply hiyo theory tena kwa msisitizo umeamua kuitengenezea equation. Hakuna kitu, 'sizitaki mbichi hizi'