Woman over 25 yrz;

Woman over 25 yrz;

Mwanamke Wa ukweli huwa apatikani kwenye mitandao, by the way, Una kasoro gani Hadi ukashindwa kupata mwanamke kijijini kwenu, kijiji cha jirani, shuleni, ofisini, nyumba za ibada Hadi uje huku? Haya basi tuseme huko kotee umekosa, Haya kwenye daladala umeshindwa? Nadhani unatafuta gonjwa LA roho sasa ptuuu
 
Hakuna mwanamke mwenye Tru Love! Unless labda ungezaliwa mwaka 1922 ungeweza kumpata. Now it's all about money
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom