Woman burning desire

Kwakwel mwanaume mbaya hapana. Kwanza wanawake 2nalilia haki sawa kwa wote hlf bado 2nataka mwanaume ndo atoe kila kitu (Gender Inequality). Mie kwa upande wangu mwanamke mbaya big NO; mezani, school fees o rent we'll share
Duh ingekuwa hivi sisi wabaya tusingepata wapenzi, tunashukuru kuna wanawake wengi wana utashi wa kuangalia vingine zaidi ya sura na pesa.
 
Duh ingekuwa hivi sisi wabaya tusingepata wapenzi, tunashukuru kuna wanawake wengi wana utashi wa kuangalia vingine zaidi ya sura na pesa.
Ha ha ha kweli aisee
 
Ha haaaaaa
 
Duh ingekuwa hivi sisi wabaya tusingepata wapenzi, tunashukuru kuna wanawake wengi wana utashi wa kuangalia vingine zaidi ya sura na pesa.

its a matter of choice lkn and beauty is in the eye of the beholder. kama ambavyo mwanaume anapenda mwanamke mrefu/mfupi mbaya/mzuri mimi kwa upande wangu mume wangu hana sura mbaya kwakwel. hahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…