Secundum quid, tatizo nchi nyingi za weusi hatuna utamaduni wa kutunza kumbukumbu kwa maandishi.
Tunapenda sana hadithi za kusimuliana za akina chitemo na uledi.
Egypt, Greece na China ziliendelea zamani sana hata kabla ya Kristo kwenye mambo ya kumbukumbu.
Italy wanabebwa na Roman Empire.
Vene Vidi Vici