i can play my part but how abt others yaani mjini pamoja na kuwepo booster zote(dawa za za kuongeza nguvu za kiume) still watu wanashindwa kuzitumia kuwaridhisha wapenzi wao kama nguvu za asili kidogo zinawapiga chenga wanataka wasaidiweje sasa?? ayway na nyie pia mna makosa yenu hamsemi kama hamjaridhishwa mnabaki kutafuta option nyingine.